Home Search Countries Albums

Last Warriors Lyrics


254 plus 255, Kenya plus Tanzania
Actualy when the movement
Has these two forces coming together
Huwa inazaliwa weapon
(Kita the Pro)

Tunarudisha mangirima, ilete madeal mani
Bila kuvunja akili tuieke asili mani
Vikao vya kujenga hoja si viroba
Waambie watoto gang gang ni uhuni sio slogan

Save yourself son you need no Jesus or Muhammed
You different, young and gifted more uplifing
We need more Mekatilili kwa generations
The impact salvation and positive solutions
The nation needs a Mau Mau Revolution
Sio Keyboard Warrior unangoja nani aiboreshe
Peace na Wana tunaisambaza kama ganja
Kwanzia Kanda ya ziwa mpaka bahari Hindu, Tanga
December mpaka January, makamba
The code up, kama Huey of black panther
Sio re-act ka Wakanda

P-Mawenge (Verse 2)

Breeder LW (Verse 3)

One The Incredible (Verse 4)
Una nguvu, pumzi na afya
Kijana mtash
Pigania haki, pinga na ulafi, pinga na unaf'ki
Majungu hayajengi, unao uwezo wa kufikiri
Kijana, jenga ya leo, ya kesho yanasubiri
Usupoteze muda, jitume!
Sukuma kazi, isikuume ukibuma kwani, jifunze
Ndo ukubwa man
Ujasiri unahitajika, kufika unapohitaji
Husika panapohusu, timiza, unakwama wapi!?
Pambana na changamoto
Misoto haiishi
Ndoto hazilipi usipo'shtuka
Unalala fo fo fo, vipi!?
Kwani, unapotoka ni mbali
Kijana, kaza ugoko dimbani!

Trabolee (Verse 5)
Out my window no bundle of joy
Just big babies that stagger with poise and see hazy
So I cover the noise with sweet medleys
As I gather my toys and keep checking
If they murdered my boys who kept scrapping in the gutter
And soil that keept shaking from the thunder
And toil and sweat....

Eti Kujikaza Kisabuni haimanishi foam (Form) itajipa?
Nilikosa answer vitabuni so naziandika
Mahali spawn zinazikwa unicall ukifika
Money talks, narespond ikiniita
Nyumba bila milango? Dough (Door) Inahitajika
Kwanza fagia kwako hizo choo zinachachisha
Ati vijana ni famous wako so far (sofa) - kwenye kiti
Chauffered kwa mazishi ndo order ya mwandishi
So namurder beat ndo nidisect topic
Ati Tra anafanya fit na Sanaa haifetch profit?

[Azma Mponda - Verse 6]
Tunapanga stanza kama Abc
We go back to the basics
We go back to the street' tunachange channel'
Hatuwezi ku retreat, tumeketi kwa panel

Wakati mambo zinapamba moto
Mitaa ina changa moto, ujana ni kama maji ya moto, pambana usikalie ndoto
Kututoka street za nairobery'
Sioni peace''' kunaforgery

Dar es salaam, zinatumwa salaam
Tunafamu' penye ushindi haramu
Tuukizidi kujitoa ufahamu
Kuna siku itamwagika damu
Ni zamu kwa zamu, jam kwa jam
Ukiwa na sikio la usikivu,utasikia bidhaa
Tunatema line mbivu', zireflect mitaa

Kayvo K-Force (Verse 7)
Natokea ghetto slum town
Kibera toka kitambo kulikuanga gun town
But we made it out muhfvckas know it's my time
Hiphop we bringing it back one time
Back to basics we taking you back in time
Sai ni collabo tushamalizana na compe
Kikosi iko kazi hadi tukafunge ka makonge
Only way forward ni kunukisha kama shonde
Industry, kuikunywa yote kwa kakikombe yeah
Am killing these flows ain't looking for hoes
Really jus grindin for doe
Ain't tryinna be beefing
With non of you nigas coz really you kids still teething
Am in my bag you ain't on my level
So we shouldn't really be speaking

Nikki Mbishi (Verse 8)

Romi Swahili (Verse 9)
As I walk through milango za grocery store
Notice section ya produce huwa imejazwa uki shop
Section ya snacks na nyama huwa iko empty kwa shelf
Diet ya cholesterol na gutter press, ni maradhi Wana sell
Ole wako, Ukikosa kupima chakula yako ka dawa
Itabaki ume swallow dawa watakuuzia kama chakula
Let's cut the chase, kwa lugha ya layman kuza food yako
Zuia tamaa duni, zingatia tamaduni - roots zako
Emotional eaters na matonge kwa social gathering
Watoto wana skip breakfast kwa meza wakikosa margarine
Poetry kwa advert za products, offer kwa magazine
Appetite driven na impulse za promo na colouring

Mansu Li (Verse 10)
Taifa la kesho nipo hapa nimes'mama
FUTURE ni leo,na-hustle hard ndiyo mana
POSITIVE vibes only (No drama)
Never ever feel lonely

Young Black n Gifted,siwezi potea njia
I believe in God, man mtanza mwenye nia
I wanna die a WARRIOR, no drugs n shit
Kioo cha jamii that's why I stand still

Najuwa wajibu wangu kama raia
Sogea karibu yangu unayenisikia
Ni Tanzania na Kenya pamoja tunawahusia (Yes sir)
Amani kwanza mengine yatafatia, yeah!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Last Warriors (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KIKOSI KAZI

Tanzania

Kikosi Kazi is a biggest HIP HOP group from Tanzania, formed by 8 members ie Azma Mponda, Nikki Mbis ...

YOU MAY ALSO LIKE