Si Saizi Yako Lyrics

Utamaliza mafusho mwenzetu kujifukiza
Tena ulitoe jacho kama vile wafukuzwa
Na nikupe taarifa mjini watu tunapeta
Tena nina wajibika kula yangu uhakika
Yaani ukijisafisha uchafu kwako ni dakika
Hata ukikasirika ujembe lakini umefika
Mchezo unaocheza, mi nicheza zamani
Na waliokupoteza, ni walo ficha ramani
Mchezo unaocheza, mi nicheza zamani
Na waliokupoteza, ni walo ficha ramani
Oooh mimi si saizi yako
Oooh kawaulize wenzako
Oooh mimi si saizi yako
Oooh kawaulize wenzako
Hapo ulipo panyam nyam, panyam nyam
Hizo ulivyo, panyam nyam, panyam nyam
Hapo ulipo panyam nyam, panyam nyam
Hizo ulivyo, panyam nyam, panyam nyam
(Aaah..)
Kosa unajifanya mfukunyuku
Leo umefufkunyua kusiko
Si wanati wala vinjuruku
Hata kwetu sio nacho haupo
Umekosa haya mwana hithaya
Wenzako ni bendi zetu huziwezi
Rudi kwenye kwaya
Sura imekupwaya kwako mambo mbaya
Kama wewe Zenji basi mi wa Tanga
Mambo moto fire
Ngoma nagwa laini nichecheme
Ushazoea kucheza masebene
Ukishindwa umumung'unye uteme
Kidaruso nakuomba unikome
Mchezo unaocheza, mi nicheza zamani
Na waliokupoteza, ni walo ficha ramani
Mchezo unaocheza, mi nicheza zamani
Na waliokupoteza, ni walo ficha ramani
Oooh mimi si saizi yako
Oooh kawaulize wenzako
Oooh mimi si saizi yako
Oooh kawaulize wenzako
Hapo ulipo panyam nyam, panyam nyam
Hizo ulivyo, panyam nyam, panyam nyam
Hapo ulipo panyam nyam, panyam nyam
Hizo ulivyo, panyam nyam, panyam nyam
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Si Saizi Yako (Single)
Copyright : (c) 2021 Konde Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE