Home Search Countries Albums

Usijichukulie Star

B GWAY Feat. LAVA LAVA

Usijichukulie Star Lyrics


Hello
B Gway
Lg my gee
Hehe love bite
LG

Usijichukulie star
Oya weeh usijichukulie star
Usijichukulie star
Oya weeh usijichukulie star

Kueka breach kama mcongo (Oya weeh usijichukulie star)
Ma sixpack kutwa minondo (Oya weeh usijichukulie star)
Kuvaa suit nyekundu (Oya weeh usijichukulie star)
Kupaka piko na mikorogo (Oya weeh usijichukulie star)
Vi apartement vya mikocheni (Oya weeh usijichukulie star)
Mara mikufu mara micheni (Oya weeh usijichukulie star)
Kuchekesha kidogo unajiona star (Oya weeh usijichukulie star)
Sasa wewe star au stanbakora (Oya weeh usijichukulie star)
Mastar walikuepo kipindi hiko
Toka enzi zile za kikulacho (Oya weeh usijichukulie star)

Usijichukulie star
Oya weeh usijichukulie star
Usijichukulie star
Oya weeh usijichukulie star

Shusha vioo salimia wana
Oya (Usijichukulie star)
Eti bongo kuna jua sitembeagi
Mchana oya (Usijichukulie star)
Siku hizi sipandi bajaji (eeeh)
Mwenzenu nguna silage (whaaat)
Zangu mapizza mabaga location
Masaki (Usijichukulie star)
Pombe za bei cheap sinywagi (eeheee)
Sijali hata mkini judge
Na madanga wa kibongo haku sitaki (Usijichukulie star)
Kwenda uturuki juzi tu unajiona cake (Usijichukulie star)
Kujichonga chonga mwili shape lenyewe fake (Usijichukulie star)

Usijichukulie star
Oya weeh usijichukulie star
Usijichukulie star
Oya weeh usijichukulie star

Sare sare, sare sare
Kama una wako cheza nae
Kama huna nenda ukalale
Sare sare, sare sare
Kama una wako cheza nae
Kama huna nenda ukalale (twende)
Sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake (twende)
Sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Usijichukulie Star (Single)


Copyright : © OneRPM & WCB Wasafi


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

B GWAY

Tanzania

B GWAY is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE