Home Search Countries Albums

Wakati Lyrics


Sitochoka kusubilia maana subila yavuta heri
Imani yangu ni kwamba upo wangu wakati
Ambao bwana ameniandalia wakuyafuta machozi yangu ya unyonge
Mimi nausubili, wakatii
Wa kagangwa vidonda vyangu kujibiwa maombi yangu
Wakati wakupanda viwango vya juu
Ala lala laah, nishangaze adui zangu
Waliosema itakula kwangu washangae
Ukuu wa mungu wangu
Ulivyo mukubwa
Hajanisahau
Hachelewi wala hawai
Nachojua niko kwenye foleni (aah eeeh)
Hajanisahau hachelewi hawai
Nachojua niko kwenye foleni (aah eeeh)
Hivyo nausubili wakati wangu ufike
Wakati     alio niandalia bwana wakati wangu ufike
Wakati wa furaha wakati wangu ufike
Wakuinuliwa tena wakati wangu ufike nausubiri sichoki

Mosungi nanga, moninga naga
Mobateli nanga
Je te fais confiance
Nayebi sukasuka yokosala nga ngolu eeh
Na makambo elekinga mayele nabelelaka yo
Yoza zambe likolo na nyoso nayeni yokosala
Sita ovatek ntasubiri wakati wako
Hajanisahau hachelewi hawai
Nachojua niko kwenye foleni
Hivyo nausubili wakati wangu ufike
Wakuandaliwa meza mbele ya watesi wangu
Wakati wa furaha yangu kurejea
Bado bado nausubiri (wakati wangu ufike)
Wakati wa kufutwa machozi na bwana (wakati wangu ufike)
Wakati eiyeeeh yeeeh (wakati wangu ufike)
Wakati wa kuvishwa vazi la heshima (wakati wangu ufike)
Eeeh eeeh eeeh (wakati wangu ufike)

Nazeli tango kouta na nzambe nanga
Nazozela tango nayo Yesu lokola abakuki
Lele lele leleeeh
Tango nayo Yesu
Tango nayo Yesu
Lele lele leleeeh
Tango nayo Yesu
Tango nayo Yesu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Wakati (Single)


Copyright : ©2023 KiboMelodies. All rights Reserved


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KIBONGE WA YESU

Tanzania

Kibonge Wa Yesu is a Gospel Musician from East Africa ...

YOU MAY ALSO LIKE