Home Search Countries Albums

Show Lyrics


Mjini kaunga sikia sound kaunga
Hallo kaunga sikia sauti kaunga
Na pembeni nina mtoto shingo yake ya upanga
Hata baba na mama wamekubali ye ni kifaa

Mpaka wengine wanataka kuniua kw mapanga
Katoto chuma kinawaka, katoto lawama, katoto matata
Bahati yangu we Mulungu we, wezangu wanaona donge
Wengine huyu mwanamke wanasema hatuendani
Wanasema hatuendani mi naye, haya basi babe

Show show oh oh
Show show waonyeshe
Show show oh oh
Show show waonyeshe

Show show oh oh
Show show waonyeshe
Show show oh oh
Show show waonyeshe

Wanapenda kuchonga aah
Watoto ghasia hunikurupoka eeh
Walai che mwenzako utundu eh
Waringa na simu za tu za goroka eeh

Wapakia na waja eeh
Jipodoe na wakuone eeh
Jitanue -- 
Ah dodo

Nakupa na mapesa zangu wee
Wakivimba na wapasuke 
Maana midomo kama vikasuku we
We mtoto ning'inia ee

Kanitoaga na roho
Utavunja mtima na wangu ee
Tucheze ana ana do
Wakinuna wanywe panadol
Tucheze ana ana do
Wakinuna wanywe panadol

Show show oh oh
Show show waonyeshe
Show show oh oh
Show show waonyeshe

Show show oh oh
Show show waonyeshe
Show show oh oh
Show show waonyeshe

Si umepewa samaki baba
Weka kwenye nyonga iyo
Halina watoto ikionekana italeta zogo
Akisema anataka (Weka)
Kucheza karata (Weka)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Show (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BEST NASO

Tanzania

Best Nasso is an artist/songwriter  from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE