Home Search Countries Albums

Nasubiri Lyrics


Kibinadamu ni ngumu kujikomboa
Kwa yaliyonisibu hakuna awezaye kuniokoa
Niko ndani ya shimo
Lenye maumivu mengi
Katika ya jangwa
Natama hata tone la maji
Umebaki wewe tu (Umebaki wewe tu)
Uwezaye kurudisha tabasamu ooh uwoo
Umebaki wewe tu
Uwezaye nitanyia amani tena
Bwana kwako nangoja (bado nasubiri)
Naisubiri ahadi yako (bado nangojea)
Ahadi ya uzima wangu (bado nasubiri)
Nasubiri, nasubiri (bado nangojea)
Utajiri ulioniahidi (nasubiri)
Subiri, mimi nasubiri (nangojea)
Unitoe jangwani (nasubiri)
Unitoe kwenye umasikini
Unitoe shidani (nangojea)

Gonjwa nililonalo limeshindwa kutibika
Wamenidhurumu
Haki yangu imepotea ooh
Kwako nasubiri jibu
Uliye tabibu wa kweli
Uliye hakima wa kweli
Umebaki wewe tu
Uwezaye kurudisha tabasamu ooh uwoo
Umebaki wewe tu (Umebaki wewe tu)
Uwezaye nitanyia amani tena
Bwana kwako nangoja (bado nasubiri)
Tumaini langu lipo kwako (bado nangojea)
Nangojea uponyaji wako (bado nasubiri)
Ona madaktari wameshindwa (bado nangojea)
Kunisaidia aahh  (bado nasubiri)
Uirudishe haki yangu  (bado nangojea)
Kutoka kwa mikono ya wadhurumaji (bado nasubiri)
Wewe ndiwe hakimu wa kweli
Kwako nasubiri (nangojea)
Kwako nasubiri
Kwako nangojea

Umebaki wewe tu
Uwezaye kurudisha tabasamu ooh uwoo
Umebaki wewe tu
Uwezaye nitanyia amani tena
Bwana kwako nangoja (bado nasubiri)
Kama vile kiwete (bado nangojea)
Malangongi na hekalu (bado nasubiri)
Kupokea muujiza wangu (bado nangojea)
Kupokea Baraka zangu  (nasubiri)
magari yangu  
kumiliki nyumba zangu (nangojea)
nangoja, mimi nangoja eeeeh
(Nangojea
Nasubiri
Nangojea
Nasubiri)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Nasubiri (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KIBONGE WA YESU

Tanzania

Kibonge Wa Yesu is a Gospel Musician from East Africa ...

YOU MAY ALSO LIKE