Home Search Countries Albums

Mshahara Lyrics


Leggo, Dream City Luffa, paka

Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 
Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 

Walisema hakuna vibe mbona sasa shangwe?
Wameshapishana na gari la mshahara 
Waliona hakuna peace wameondoka mbona pambe
Wameshapishana na gari la mshahara 

Ile wanatoka getini mashaka ingiza fuso
Wameshapishana na gari la mshahara 
Eti kumbe poa hakuna umeme ile kuondoka huo..
Wameshapishana na gari la mshahara 

Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 
Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 

Si walitudharau
Wameshapishana na gari la mshahara 
Baas okay tunawablue tick
Wameshapishana na gari la mshahara 

Walitaka attention watembee mida ya wanga
Ila wakakuta si tushahama kiwanja
Pole sana wale mlioninyima namba
Habari mnayo nadhani mnaona navyotamba

Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 
Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 

Nataka kutoa offa ati kila mtu kivyake
Wameshapishana na gari la mshahara 
Wamemtenga chawa mara kaagiza Henny
Wameshapishana na gari la mshahara 

Nilishawaambia wacheni madharau
Wameshapishana na gari la mshahara 
Eti kumbe poa hakuna umeme, ile kuondoka tu
Wameshapishana na gari la mshahara 

Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 
Mshahara, mshahara
Wameshapishana na gari la mshahara 

Si walitudharau
Wameshapishana na gari la mshahara 
Baas okay tunawablue tick
Wameshapishana na gari la mshahara 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mshahara (Single)


Copyright : (c) 2021 Dream City


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

YOUNG DARESALAMA

Tanzania

Young DareSalama also known as Young Dee is a rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE