Harusi Yangu Lyrics
Mwenzenu leo naoa nauaga ubachelor
Nipeni kheri ya ndoa
Tamu ya halali ni ndoa, naoa nauaga ubachelor
Nipeni dua ya ndoa
Kupendwa kweli raha jamani
Mmmh napendwa kwa raha burudani
Ndani ya suti na shera
Madera pambe vijora
Mami ya mwari tandika tandika ee
Wageni wakea
Baba ya mwari tambika tambika ee
Wageni wakae
Tunakula solo, na minyama minyama
Misoso moro vijiko vyagongana
Ayee leo harusi yangu
Ooh, ayee leo harusi yangu
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Sasambu, sasambua bibi kasema umekua
Iwe jua, iwe mvua tukaombe sala na dua
Sasambu, sasambua anayejua mahaba mahaba
Mahaba funika funua
Nimeshaacha usela, sili tena vibandani
Nifunikie na kawa, chakula eka jamvini
Mami ya mwari tandika tandika ee
Wageni wakea
Baba ya mwari tambika tambika ee
Wageni wakae
Tunakula solo, na minyama minyama
Misoso moro vijiko vyagongana
Ayee leo harusi yangu
Ooh, ayee leo harusi yangu
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Chereko chereko, che che
Pokea baraka zangu wanangu
Nawatakia ndoa ya kheri
Amefurahi mama yenu
Wajomba mashangazi na ndugu pia
Labda kifo kiwatenganishe
Upendo uvumilivu heshima itawale
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Harusi Yangu (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KASSIM MGANGA
Tanzania
Kassim Hemed Mganga is a musician from Tanzania. He started music in 2002 and release his first offi ...
YOU MAY ALSO LIKE