Home Search Countries Albums

Salima

KASSIM MGANGA Feat. MBOSSO

Salima Lyrics


 

Salima aah eeeh
Salima wa mama
Salima pigo zako
Utanitaka lawama

Salima aah eeeh
Salima wa mama
Salima fujo zako
Utanitaka lawama

Kanijia na kanga
Na mafuta ya karanga
Anataka nikanda

Kitandani kapanda aah eeh
Na shuka kijivinga aah eeh
Kiuno kakipinda

Salima lawama, 

Nikatabaruku
Kama noma iwe noma
Tamu ya supu(mama)
Na nyama zilizonona

Nikatabaruku
Kama noma iwe noma
Tamu ya supu(mama)
Na nyama zilizonona

Mali hiyoo...
Itunze hiyoo...
Mali hiyoo...ooh mama hiyo
Itunze hiyoo...

Kalowesha dera ndembe ndembe
Salima wa mama
Kwa nyuma kichongoma denge
Aki akichutama

Salima kanipeleka Pwani
Kanipeleka Zanzibar
Hadi Tanga kunani?
Kunoa kisu ngariba

Utundu huo, utundu huo
Utajavunja kitanda
Miguu juu iyo, miguu juu iyo
Utachanika msamba

Usongo aaah eeh
Kwa vumbi la Kongo aaah eeh
Akipinda mugongo aaah eeeh
Kama ana kibiongo

Nimekuita leo Salima 
Tucheze kidumbaki, neng'emua
Sasa huko wanipitisha wapi?
Utaniua, sijazoea 

Nikatabaruku
Kama noma iwe noma
Tamu ya supu(mama)
Na nyama zilizonona

Nikatabaruku
Kama noma iwe noma
Tamu ya supu(mama)
Na nyama zilizonona

Mali hiyoo..
Itunze hiyoo..
Mali hiyoo...ooh mama hiyo
Itunze hiyoo..

Utaunguza yeah
Utaunguza yeah
Utaunguza chungu 
Na wali haujashika tandu

Wa andazi wanalia jikoni
Maji, mate
Tepetepe, tepetepe
Tepetepe, tepetepe
Mi naogopa kula vya uwani majimaji

Tepetepe, tepetepe
Tepetepe, tepetepe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Salima (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KASSIM MGANGA

Tanzania

Kassim Hemed Mganga is a musician from Tanzania. He started music in 2002 and release his first offi ...

YOU MAY ALSO LIKE