Simu Lyrics
Ring Ring, Kila saa napokea Simu
Zinapigwa kwa fujo mpaka napata wazimu
Ring Ring, Na zinatoka kila seheme
nyingine za machizi na nyingine za mademu
Cheki, code juu ya bajeti
Mwili unanukia Maarufu ambayo hayaelezeki
Na Ukiona Tunavaa mavyeni sio mavyeni feki
Miwako Kama Tuko mamtoni kudadadadeki
Zinazonichanganya simu za Mama zako Sasa
Imetoka simu ya Samantha inayoingia ni ya Natasha
Watoto wa kike wananielewa vizuri haswa
Maana nawawasha na wanalijua dudu washawasha
Simu za leo unakula bata wapi ndo zinachosha
Kuna majina yakiita unaweza simu ukaidondosha
Kuna simu zikiingiaga huwa zinanikosha
Kama simu ya tajiri abasi na ya kadogosa
Ipigwe simu ya capo simu pisi zipate dozi
Ipigwe simu ya pigi au simu ya wakuball
Au ipigwe simu ya mwenye nyumba akukate pozi
Usiombe ipigwe simu ya prez tito au ya frank knows
Yani sikuhizi simu zinaitaa
Sikuhizi simu zinaita
Mama la mama zinaita
Wana kwa wana zinaita
Yani sikuhizi simu zinaita
Sikuhizi simu zinaita
Mama la mama zinaita, wana kwa wana zinaita
Yani sikuhizi simu zinaita, sikuhizi simu zinaita
Sikuizi simu zinaita, sikuhizi simu zinaita yani siku hizi
Simu nyingi sanaa za kumwaga wino
Sikuizi naonekana sanaa kama nakaa kino
Pesa tunavyozisaka ni jino kwa jino
Ukiona tupo high ujue ni simu ya kapachino
Upoaji ni lazima simu ya panda
Pisi zetu nao kutwa na simu za kudanga
Mataprli wanatujua na simu za kupanga
Wachawi wanateseka sanaa na simu za waganga
Nishakataaga masimu za bia
Nishapataga simu bebe inapiga inalia
Nishapitiaga matukio siwezi kuhadithia
Nshakuwa sipigiwi skuzi simu zinafika hadi mia
Simu za virungu huwa hazikosi
Sahivi zinazoita sana ni simu za maboss
Ukiona nimepata jimama ujue jimama boss
Hapo zitapigwa simu mpaka zitokee kwenye utosi
Simu ya diamond dash simu ya rama sa
Simu ya mwamba makini simu ya mwanafa
Simu ya dully ujue misifa tuu niwaelezee
Ubaya mi huwa sina simu nyingi za mapedeshe
Yani sikuhizi simu zinaitaa
Sikuhizi simu zinaita
Mama la mama zinaita
Wana kwa wana zinaita
Yani sikuhizi simu zinaita
Sikuhizi simu zinaita
Mama la mama zinaita, wana kwa wana zinaita
Yani sikuhizi simu zinaita, sikuhizi simu zinaita
Sikuizi simu zinaita,sikuhizi simu zinaita yani siku hizi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Simu (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOUNG LUNYA
Tanzania
Young Lunya is a hiphop artist from Tanzania signed under Rooftop Gang a hiphop record label ba ...
YOU MAY ALSO LIKE