Moyo Lyrics
Moyo tosheka pendo la huyu binti
Moyo shinda chakula haikiliki
Moyo tamu yangu hailiki
[CHORUS]
Unanipa tabu unani adhibu
Ntapata aibu moyo
Unanipa tabu unani adhibu
Ntapata aibu moyo
Hey yeh yeeh aah
Hey yeh ye ehh
Hey yeh ye ehh
Hey yeh ye ehh
Hey yeh ye ehh
Moyo shiba penzi utaliharibu
Moyo shiba shinda majaribu
Moyo swahiba haiba utaivurugu
Moyo punguza vurugu
[CHORUS]
Unanipa tabu unani
adhibu ntapata aibu moyo
Unanipa tabu unani
adhibu ntapata aibu moyo
Hey yeh yeeh aah
Hey yeh ye ehh
Hey yeh ye ehh
Hey yeh ye ehh
Hey yeh ye ehh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Moyo (Single)
Added By : Olivier Charly
SEE ALSO
AUTHOR
KASSIM MGANGA
Tanzania
Kassim Hemed Mganga is a musician from Tanzania. He started music in 2002 and release his first offi ...
YOU MAY ALSO LIKE