Home Search Countries Albums

Peleka Moto

BADDEST 47 Feat. ODONG, YOUNG LUNYA

Peleka Moto Lyrics


Hizo bia unazomnunulia blaza
Ukimpiga kimoko ukilala atatangaza
Sio pesa tu usipokaza
Usiwe kilaza bro

We mpeleke moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto

Usiishie kununua chipsi tu
Nyama nyingi kuliko chipsi zipisi mmh
Anakula zege wanakodolea mahips tu
Na unapasuka hujanyonya hata lips, duu
Haa, kwao wanamuita kicheche
Tembeza moto mpaka mwisho usitoke na cheche
Kati kati tu utaskia acha ipoe nipepee
Afu ukicheki comrade rungu kipepee

Si mnasema no maneno love tushaskia
Mbona fresh nalipa ila utahadithia
Mguu wa shingo mguu wa roho huku nakanyagia
Nishalipa kiingilio baada ya show nadissapear

Moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto

Siku hizi wanataka pesa na show
Usipokaza utakula na bishoo
Pisi kali inatoka na mafoo
Kwa ajili ya show niamini mimi bro

Ukimpa hela ye anajiunga bando
Apige picha amtumie mbeba nono
Enekeza show zako za uongo
Mwenzio anatoa mpaka anaongea kimombo

Watoto wazuri wanataka show bigi bigi
Ndo maana wanadate na dereva pikipiki
Wanakulana wanaitana macousin
Bro shtuka bro

We mpeleke moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto

[Young Lunya]
Alafu wakati anashoboka na offer za bia
Akasahau kupelekewa moto itafuatia
Mbwembwe mingi mixer kama naikalia kalia
Hiyo mikogo yaiva huko kwenye vibamia

Akajikuta usiku kucha mi nampelekea moto
Kufumba kufumbua anakuta, nampelekea moto
Nacheza na bucha tu nampelekea moto
Hataki susa nampeleka moto

Kuna hizo pisi zina tabia za kitoto
Ukishatuma nauli ila kufika changamoto
Mpaka umpigie simu nyingi za vitisho
Huyu akifika hakuna storo la maji

Peleke moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto

Moto, moto, moto

We mpeleke moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto
Mpelekee moto, peleka moto

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Peleka Moto (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BADDEST 47

Tanzania

Baddest 47 is an artist from Tanzania signed under Rooftop Entertainment. ...

YOU MAY ALSO LIKE