Tanzania Lyrics
Haa haa haa haa
Haa haa haa haa
Na sitaumia moyo wangu
Nitasherehekea maisha yako baba
Nimejifunza mengi
Mengi sana kwako baba
Kwanza muda sio rafiki sana
Miaka sita tu umefanya vya maana
Tanzania yote kuna yako alama
Kuna yako alama ...
Wanasema uoga kiza kinene
Haukua nao tulipojiuliza nani aseme
Uliongea nao baba
Sasa nani? Sasa nani?
Sasa nani ataziba pengo
Kufikia malengo
Tanzania Tanzania, mama Samia Mungu akupe nguvu
Tanzania Tanzania, watanzania tupendane
Tanzania Tanzania, ooh Tanzania
Tanzania Tanzania, naba baba
Tanzania Tanzania, hee my Tanzania
Tanzania Tanzania, tushikamane
Tanzania Tanzania, aah aah
Tanzania Tanzania, nchi yangu Tanzania
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Tanzania (Single)
Copyright : (c) 2021 African Boy
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE