Tutoke Lyrics

Tunatupa shida, mikono kwa hewa
Nasubiri ile mida, nione nani amelewa
Fosi tutoke hata monday, monday
Tukeshe wote tupige monday, monday
Watajazana sana wee
Itakuwa noma nikiwa nawe
Fanya tujiandae
Leo natoka na wewe
Its time to party
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
We uko wapi?
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Its time to party eeh
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Twende tujivute
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Fanya pale pale
Ujee tukutane
Wa zamani za kale
Ujee tukutane
Nifanye nijikwatue
Hata marafiki niwashtue
Ukicheza na mimi
Hapo kaa tu kutano Garden
Watajazana sana wee
Itakuwa noma nikiwa nawe
Fanya tujiandae
Leo natoka na wewe
Its time to party
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
We uko wapi?
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Its time to party eeh
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Twende tujivute
Tutoke! Tuenjoy tufurahi
Uje, tukutane
Uje, tukutane
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Tutoke (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE