Tell Me Lyrics
Yeah Shawty, Let me talk to ya
S2Kizzy baby
[VERSE 1]
Ehh nisipo kula na wewe ungwanja
saa ntakula na nani sinaga uwo ujanja kwako
Ninjengo sote na kibanda
Awali side chiks wote walishasanda kwako
Kula ndizi bila maganda
Muhanga mi nishajitoa
Kitambo sikazi kwako
Kwa mungu na si kwa mganga
Njoo tupige goti baraka zimetaanda hapo
Nsipokupenda wewe ntampenda nani (Uhmmmm hmm)
Leo kazi sina nina kazi nyumbaani (yeah eeeeh)
Ntapika ulee wangu wa ndani (Uhmmmm hmm)
Na ndoto yangu uyatoe ya ndani mama (ooo woa)
[CHORUS]
Twende jambiani au twende
Serengeti mbugani ooh baby
Lushoto milimani
Usijali kwani pesa kitu ganii
Twende jambiani au twende
Serengeti mbugani ooh baby
Lushoto milimani
Usijali kwani pesa kitu ganii
Tell me something… Tell me something
Tell me something… Tell me something baby
[VERSE 2]
Naacha mambo yote maana najiskia mfalme njinii
unanipa vitu vingi hata sijui nikupe ninii
Tuna mali tuna Mungu napia tuna nia
Tuna ishi ndoto zetuu wakitushuhudiaa
Na unanifaaa... Moyoni umenikakaa kama nini
Pale na jikwaaa... mauni achii niende chini oooh woa
[CHORUS]
Twende jambiani au twende
Serengeti mbugani ooh baby
Lushoto milimani
Usijali kwani pesa Kitu ganii
Twende jambiani au twende
Serengeti mbugani ooh beibee
Lushoto milimani
Usijali kwani pesa kitu ganii
Tell me something
(Niambie kitu, niambie kitu, Niambie kitu)
Tell me something
(Niambie kitu, niambie kitu, Niambie kitu)
Tell me something baby
Twende… Twende… Twende…
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Tell Me (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE