Home Search Countries Albums

Starehe Yako Lyrics


Ayie, ayie baba
Ayie, ayie baba

Ha !
Unazaliwa mara moja na unakufa mara moja
Ata kuishi tunaishi mara moja
Sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja
Tofauti matamanio hapa ndo kwenye vihoja
Kila mtu na starehe yake bhana (ndo maana yake)

Starehe yangu ni mziki napenda na wanawake
Kuna wapenda tungi wazee wa gambee
Raha ya pombe ulewe hyo ndo starehe
Wavuta bangi nae wanasema nayo ni starehe
Hawezi kula, hawezi lala mpaka avutee
Mwingine starehe yake yeye ni kupiga chabo tu
Mechi ucheze wewe ukapambane piga deo tu
Mi ni starehe yangu nami sipendi ya kwako
Kila mtu na starehe yake bwana wewe fanya ya kwako
Minaona Fresh tu Yaan ni vibe
Maisha matamu lalafu mafupi we enjoy tu

Ayee..  ayee baba
Ayee..  ayee baba
Ayee..  ayee baba

Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable (comfortable)
Na watoto sio tubig big napendaga na vipotable (na vipotable)

Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu, kila mtuu
Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu kila mtuu

Starehe ni nyingi na kila mtu ana yake
Usimwngilie mtu kwenye starehe yake
Hizi starehe zingine bwana we noma sana
Kuna wakina dada starehe yao kusagana
Amaeacha mwanamke ndani ameenda kupiga nyeto
Hiyo ndo starehe yake usije dhani ana mapepooo kwenye
Starehe ya mapenzi aki ya mungu tuko wengi
Ya kuzini motoni tutaenda wengi
Kila mtu na starehe yake bwana
Ndo maana yake
Anaejua utamu wake bwana
Ndo maana yake
Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako
Hakuna noma vuta sindo starehe yake

Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)
Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)

Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable (comfortable)
Na watoto sio tubig big napendaga na vipotable (na vipotable)

Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu, kila mtuu
Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu kila mtuu

Atae kupa furaha
Hiyo ndo yako starehe
Kitunze usikubali kipotee
Kama unapenda soccer
Endelea kurastarehe
Hata ikifungwa
Timu yako itetee

Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)
Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)

Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable (comfortable)
Na watoto sio tubig big napendaga na vipotable (na vipotable)

Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu, kila mtuu
Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu kila mtuu

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Rais Wa Kitaa (Album)


Copyright : ©2021 Free Nation


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE