Home Search Countries Albums

Wekaa

RHINO Feat. SHETTA

Wekaa Lyrics


Rhino ft Shetta - Weka lyrics

Rhino Ft Shetta Wekaa 

Beiby ongeza kasi basi chezesha
Mshale wa nungu nungu unachomeka
Yaani kama nazi unakulika
Mtoto kitu unacho unashikika

Unanifanya zoba, unanikoroga
Na hilo lako boga
Nikichovya chovya

Pinda na shingo kidogo(Wekaa)
Nitegue na langu gogogo(Wekaa)
Unavyoteleza kwenye embe dodo(Mzuka)
Yaani tamu mpaka kwa kisogo(Nakufa)

Toto kiuno speedo 
Nyuma kajaza 
Kwenye sita shangwe miuno
Nikimpa cassava

Wekaaa(Shetta to Shetta to Shetta)
Wekaaa(Okey)
Wekaaa(Yoh baba Kayla)

Nipe nikupe mapenzi tudate
Mpaka wajute na please usiniache
Hey mam kama gundi ninate
Nenda popote nikienda nifuate

We ndo wangu basi acha nikubroadcast
Chako changu kama pesa basi zinicost
Tumia tumia we ni wangu ringa
Kwa yangu dunia we usijali vimba

Mi napenda unavyodeka deka alright
Kama mtoto unavyocheka cheka
Wanadiss wanasema ni vibweka bweka
Ila mi sijali nishajiweka weka(Okey)

Toto kiuno speedo 
Nyuma kajaza 
Kwenye sita shangwe miuno
Nikimpa cassava

Wekaaa
Wekaaa
Wekaaa
Wekaaa

Pinda na shingo kidogo(Wekaa)
Nitegue na langu gogogo(Wekaa)
Unavyoteleza kwenye embe dodo(Mzuka)
Yaani tamu mpaka kwa kisogo(Nakufa)

Wekaaa
Wekaaa
Wekaaa
Wekaaa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Wekaa (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

RHINO

Tanzania

Rhino The Don is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE