Home Search Countries Albums

Kwa Yesu

IZZO BIZNESS

Kwa Yesu Lyrics


Kama dhambi mbona nyingi sana
Nishafanya mitikasi ambayo haina maana
Nimeishi lekikeys man noma sana
Maji ya moto si unajua mambo ya ujana

Na leo nimeshtuka bwana
Hakuna mchongo zaidi ya mchongo wa kumrudia Bwana
Kiri makosa kuwa msafi dhambi kuungama
Mambo kwa Yesu iko wazi na inajulikana

Wapo wataonicheka sana, watanisengenya
Wataponda sana
Kwa Yesu mimi najichana
Wala sina noma naenjoy sana
Rudi kundini ndio habari ya town
Shetani hatupati huko down
Na Yesu ashatuvisha hizo crown
Si ndo ma king yaani coded on town

Na hatutaacha, kumsifu
Mungu wetu, mwaminifu
Asiyejali mapungufu
Baba Mwana na Roho Mtakatifu

Cheza sasa, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu

Huyu shetani kwani nani huyu
Asitutishe kwani nani huyu
Hana mamlaka kwani nani huyu
Ah tunamkemea, kwani nani huyu

Eyoo shetani hutuwezi hebu kaa mbali
Watoto wa Yesu tumechill si hatuna habari
Kama si home tupo zetu chaji tunasali
Dhambi zako baki nazo wewe ni hatari

Wewe ni hatari, huna jambo nzuri
Kwa Yesu huku safi sana mambo yote shwari
Wajanja wote tupo huku sisi hatuna habari
Nikushaweka daily yaani party after party

Eyoo kama niko kwa Yesu hakuna kwingine
Karibuni wote tuje tujichane
Yesu ni upendo basi tupendane
Yesu yuko juu karibu tuinuane

Shetani anashangaa wajanja tumemkacha
Hajui ye ni mjinga hawezi kutupata
Amekwisha hana jipya anatapatapa
Hana ujanja tena mwisho wake ushafika
Kashalegea hana nguvu devil katupweta
Habari anayo alichotaka sasa kashapata

Na hatutaacha, kumsifu
Mungu wetu, mwaminifu
Asiyejali mapungufu
Baba Mwana na Roho Mtakatifu

Cheza sasa, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu
Kwa Yesu, kwa Yesu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kwa Yesu (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

IZZO BIZNESS

Tanzania

Izzo Bizness is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE