Midadi Lyrics
Ata kama mia naokota iokota iyo
Ata kama mia naokota ikianguka
Yeah, eyo beautiful, beautiful girl
Leo kamazali vile uko na mimi
Leo kamazali mami hata siamini
Mtoto fani sio matawi ya chini
Maswaga flani mami mixer vimini
Ukitembea hivyo vikuku miguuni
Ata sijui sasa niseme nini
Maana kwako niko hoi taabani
Mahututi sijiwezi kitandani
Unataka nikuite jina gani?
Kendi, Reiny au Shanny?
Please mami sema na mimi
Kuhusu haters, niachie mimi
We unadhani watasema nini?
Mi striker na mpira uko kwapani
Kilicho baki ni kutia wavuni niamini
Sura ya Msomalia, uno Congo
Umenibana kwenye mbavu na kwenye mgongo
Ukicheka ukilia, hallo ni mrembo
Insta nakucheki wewe unamaliza bando
Oooh wacha wewe, wacha we
Unanipa midadi eeh
Aaah wacha wewe, wacha we
Unafanya kusudi wee
Ata kama mia naokota iokota iyo
Unanipa midadi eeh
Ata kama mia naokota ikianguka
Unafanya kusudi wee
Unanipa midadi eeh
We ukichora namba saba mi nachora nane
Nina kikubwa ninachohisi si tupendane
Yaani tuwe sare sare sisi tufanane
Usiende kwa mwingine, nisiende kwa mwingine
Tushikane tusiachane mpaka kwenye uzeeni
Wakiuliza mbona hivi mami by the daily
Wape jibu kwetu ni mapenzi kwetu sisogei
Wape jibu kwetu ni mapenzi kwetu sisogei
Kukesha kesha matabia yao ka popo
Wanataka tugombane hawa wanoko
Furaha yao kutuona kwenye msoto
Nawapa pole maana penzi letu la moto
Wakiguza waloungua wanaungua sana
Wanatuwinda lengo lao sisi kuachana
Tunawachora ka kideo tunawatazama
You call me baby mama, i call you baby mama right
Sura ya Msomalia, uno Congo
Umenibana kwenye mbavu na kwenye mgongo
Ukicheka ukilia, hallo ni mrembo
Insta nakucheki wewe unamaliza bando
Oooh wacha wewe, wacha we
Unanipa midadi eeh
Aaah wacha wewe, wacha we
Unafanya kusudi wee
Ata kama mia naokota iokota iyo
Unanipa midadi eeh
Ata kama mia naokota ikianguka
Unafanya kusudi wee
Unanipa midadi eeh
Kwenye giza unawaka
Hata kama mia naokota ikianguka
We ndo kifaa, aaah...
Kama umeniroga
(Mia naokota ikota ikaa)
Unafanya kusudi eeh
(Mia naokota ikota ikaa)
Unanipa midadi eeh
Kama umeniroga
Mganga wako fundi
Mganga wako fundi eeya
Sura ya Msomalia, uno Congo
Umenibana kwenye mbavu na kwenye mgongo
Ukicheka ukilia, hallo ni mrembo
Insta nakucheki wewe unamaliza bando
Oooh wacha wewe, wacha we
Unanipa midadi eeh
Aaah wacha wewe, wacha we
Unafanya kusudi wee
Ata kama mia naokota iokota iyo
Unanipa midadi eeh
Ata kama mia naokota ikianguka
Unafanya kusudi wee
Unanipa midadi eeh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Midadi (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE