Home Search Countries Albums

Ex Wangu (Remix)

HAMISA MOBETTO Feat. SENETA KILAKA

Ex Wangu (Remix) Lyrics


Nauliza anaomiliki Ex wangu nani
Sa mbona anapiga simu kwangu
Jamani anaomiliki Ex wangu nani
Basi amnogeshe asipige simu kwangu

Nauliza anaomiliki Ex wangu nani
Sa mbona anapiga simu kwangu
Jamani anaomiliki Ex wangu nani
Basi amnogeshe asipige simu kwangu

Mwenzake nachat naye oh naongea naye
Analalamika eti nirudiane naye
Mwenzake nachat naye oh naongea naye
Analalamika eti nirudiane naye

Mwanzo nilipompa moyo wangu wote
Anishikie mie ooh
Ye hakujali hisia zangu ooh
Mie akanizingua mie ooh

Mwanzo nilipompa moyo wangu wote
Anishikie mie ooh
Ye hakujali hisia zangu ooh
Mi akanizingua mie ooh

Nakupa pole pole umeshachelewa
Pole dear ex mwenzako nimewaiwa
Nakupa pole pole umeshachelewa
Pole dear ex mwenzako nimewaiwa

Nauliza anaomiliki Ex wangu nani
Sa mbona anapiga simu kwangu
Jamani anaomiliki Ex wangu nani
Basi amnogeshe asipige simu kwangu

Nauliza anaomiliki Ex wangu nani
Sa mbona anapiga simu kwangu
Jamani anaomiliki Ex wangu nani
We basi amnogeshe asipige simu kwangu

Mi nilijitahidi kuonyesha mapenzi
Uliniona lofa mimi
Sijui nani alokula gai kwangu 
Kasepa jamani

Mi nilijitahidi kuonyesha mapenzi
Uliniona lofa mimi
Sijui nani alokula gai kwangu 
Kasepa jamani

Nami mwenzake siwezi
Kugombania mapenzi
Nami mwenzake siwezi mimi
Kushare share mapenzi

Anafurahisha na Mobetto anavyocheza ananipa raha
Anafurahisha mama Mobetto akicheza ananipa raha
Anafurahisha na mangoma anavyoruka ananipa raha
Nasema anafurahisha raushami anavyoruka ananipa raha

Kama unayempenda anakupenda piga kofi moja
Kama unayemsahau si wako we piga kofi moja
We kama kweli unajikubali piga kofi moja
Kama kweli hauna stress piga kofi moja

Mi nasema kama mume wako na mi ni danga langu
Oh jamani kama wewe mume wako na mi ni danga langu
Siz wawili wawili cha peke yako kaburi dada unaogopa
Unaogopa, kwani unaogopa, unaogopa

Waambie kwamba kimeumana
Aah ni mimi hapa Hamissa Mobetto
Aah Mobetto wapi Mocco Genius wewe

Ah Seneta hapa, 
We soja wa Brazil 
Ah msalimie mtoto wa changamwe sonko touch
We juhazi mama msondo, msondo

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Ex Wangu (Remix) (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HAMISA MOBETTO

Tanzania

Hamisa Mobetto  is a Tanzanian Model  Actress Designer & Entertainer. ...

YOU MAY ALSO LIKE