Mtasubiri Lyrics
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling ooh
Kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachane (ooh mtangoja)
Mtasubiri sana mtasubiri (Wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana mtasubiri (Vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana mtasubiri
Ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachane (Mtakesha)
Mtasubiri sana mtasubiri (mtandike jamvi mukae)
Mtasubir sana mtasubiri (mtatungoja sana)
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtangoja sana
Wanasema eti umeniroga
Nikweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Nikweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kichеche
Nikweli ila inawahusu nini
Utanichezеa kesho uniache
Nikweli ila inawahusu nini
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : First Of All (Album)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
DIAMOND PLATNUMZ
Tanzania
Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...
YOU MAY ALSO LIKE