My Love Lyrics
Aki Mungu ameniumba, yangu body kinanda
Ah braza funga mkanda
Kwani nilivyo mcuty,
Unyayo waeza lamba eeh, eeh waeza lamba
(mobetto...)
Ukinimiliki, macho hutopepesa
Penzi langu ushatia tiki
Ila usije ukaweweseka
Aah ukaweweseka, ukaweweweseka aah seka aah seka
Ukaweweseka
My love eeh, my love eeh
Penzi zinga la nyuki asali
Penzi langu ni ghali
Yeah yeah yeah yeah aah yeah yeah
My love eeh, my love eeh
Penzi zinga la nyuki asali
Penzi langu ni ghali
Yeah yeah yeah yeah aah yeah yeah
Because I am beautiful
Because I am saved
Because I am cute
Because I am Mobetto
Mobetto that's my name
Kipenzi cha kila sehemu
Wawaidi, inapobidi
Naliendesha jiji, aah imewapain
Ukinimiliki, macho hutopepesa
Penzi langu ushatia tiki
Ila usije ukaweweseka
Aah ukaweweseka, ukaweweweseka aah seka aah seka
Ukaweweseka
My love eeh, my love eeh
Penzi zinga la nyuki asali
Penzi langu ni ghali
Yeah yeah yeah yeah aah yeah yeah
My love eeh, my love eeh
Penzi zinga la nyuki asali
Penzi langu ni ghali
Yeah yeah yeah yeah aah yeah yeah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : My Love (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HAMISA MOBETTO
Tanzania
Hamisa Mobetto is a Tanzanian Model Actress Designer & Entertainer. ...
YOU MAY ALSO LIKE