Alele Lyrics

Heeey...
Nikisema nitakufa Lisa mapenzi mungu nitamkosea...
Manayadhani na ufa kuna mwenzangu nyumba inamdondokea...
Mi najua sina thamani kwako utanikumbuka...
Nishatenda wema...
Mi nakwenda zangu utanikumbuka...
Pole Sana moyo we mwaya we najua amekuumiza
Ila yupo mungu huyo Baba eeh najua atalipiza...
Pole Sana moyo...
Mwaya najua amekuumiza ila yupo mungu huyo Baba najua atalipiza...
Alele nishalia...
Alele nikaumia...
Alele sina thamani kwako...
Alele mutima...
Alele vumilia.
Maana wengine wapo...
Alele nishalia...
Alele nikaumia...
Alele sina thamani kwako...
Alele mutima...
Alele vumilia maana wengine wapo...
Ooooh...
Kwa mitaa jama nandamana...
Kweli mapenzi yanaliliwa...
Nliachaga drama na ujana eeeyeee...
Yalianzaga enzi...
Ikanenaga na nafsi Acha nivumilie...
Jamani mapenzi...
Yamekuwa hadithi Acha nisimuliiie...
Pole Sana moyo eeh...
Mwaya eh najua amekuumiza...
Ila yupo mungu huyo Baba eeh najua atalipiza...
Pole Sana moyo oo...
Mwayaa najua amekuumiza...
Ila yupo mungu babaa...
Najua atalipiza...
Alele nishalia...
Alele nikaumia...
Alele sina thamani kwako...
Alele mutima...
Alele vumilia maana wengine wapo...
Alele nishalia ...
Alele nikaumia...
Alele sina thamani kwako...
Alele mutima.
Alele vumilia maana wengine waapoo...
Oooh yeah...
Oooh uu yeaah.
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Alele (Single)
Copyright : (c)2018
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
MBOSSO
Tanzania
MBOSSO Khan (real name Mbwana Yusuph Kilungi born 3rd October 1991) is an artist | ...
YOU MAY ALSO LIKE