Mahaba Lundo Lyrics
Huba lako la nyota tano
Hotel za kimataifa
Penzi lako halina mfano
Hakuna cha kufananisha
Mahaba ya homa ya njano yamenila nikaisha ooh wee
Umejua kisomo cha kunizubaishaaa
Et mkunwa na mkunaji nani anaona raha
Mie akinikuna yeye (naalalaa)
Popooo pepeeaa nampa show show ya nilivyosomea
Kama mtoto nam take care mwendo slow slow dozi inaingia
Yan popooo pepeeaa nampa show show ya nilivyosomea
Kama mtoto nam take care mwendo slow slow dozi inaingia
Mahaba lundooo, mahaba mzigo ooh oyeyeee
Mahaba mzigo ooh, mahaba lundooo
Mahaba mzigo ooh, mahaba mzigoooo
Mahaba lundoooooo
Oh yeii, oh bebee
Kupenda maradhi niuguzee
Nibembeleze nipigie na zezeee eeeh
Na tufanye wazi wazi yawauguzee wapambe
Yasipunguee babe yaongezeee eeeh
Yanimefoli nimeanguka kwako mweneiooo
Siko loli ninantena yako rediooo oooh eh
Popooo pepeeaa nampa show show ya nilivyosomea
Kama mtoto nam take care mwendo slow slow dozi inaingia
Yan popooo pepeeaa nampa show show ya nilivyosomea
Kama mtoto nam take care mwendo slow slow dozi inaingia
Mahaba lundooo, mahaba mzigo ooh oyeyeee
Mahaba mzigo ooh, mahaba lundooo
Mahaba mzigo ooh, mahaba mzigoooo
Mahaba lundoooooo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE