X Lyrics

Bomboclaa
Kondeboy call me number one
Kimamba on the beat
Mmh nani kasema x wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Hivi nani kasema x wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Nikimuona analewa, namuelewa
Anaenjoy kachelewa age go
Na bado hajapewa, viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa age go
Nani kasema x wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Hivi nani kasema x wangu ana enjoy iiihh
Nani kasema anapata raha
Never
Vanamahako twende validukula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende validukula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamaha twende validukula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende validukula
Mmh ibiza miami mbali
Hajapelekwa hata zanzibar
Hapo kizimkazi akaenjoy
Low bajeti dubai hataboi
Anasikitisha x
Kama embe la mti wa porini
Anajipitisha x
Amekosa wa kumuweka mjini
Nikimuona analewa, namuelewa
Nikimuona analewa, namuelewa
Anaenjoy kachelewa age go
Na bado hajapewa, viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa age go
Nani kasema x wangu ana enjoy
Nani kasema anapata raha
Hivi nani kasema x wangu ana enjoy iiihh
Nani kasema anapata raha
Never
Vanamahako twende validukula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende validukula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamaha twende validukula
Nikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende validukula
It’s kondeboy call me number one
Bakhresa aiiiihh
Konde music worldwide eh
Sikumpenda tu nilimtukuza
Nikala bata bila kumchunguza babe
Mambo madogo akayakuzaaa
Eti kisa upendo akanihuruzaa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
HARMONIZE
Tanzania
Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...
YOU MAY ALSO LIKE