Home Search Countries Albums

Ok

EXRAY

Ok Lyrics


Sipendi chuma napeanaga chuma huskii
Ukiskia roumours tumejituma huskii
Ukiskia homa kuna Kaluma huskii
Ka amemea mbogi itamvuna huskii
(Byron Baby)

Leo ni ile siku, ok
Hatutoki bila looku, ok
Mbogi yote ina kutu, ok
Mtu wako akikutoka morio usinishuku

Leo ni ile siku, ok
Hatutoki bila looku, ok
Mbogi yote ina kutu, ok
Mtu wako akikutoka nyonga io nugu

Leo tunabakisha, bakisha bakisha
Leo ni kumaliza, maliza maliza
Kesho mkiuliza, uliza uliza
Naondokea scene ninawaacha mmekatsika

Mmmh waambie ni sagara marondo
Ye hushinda amenuka sigara makoro
Kutu inaweza fanya ata tudate mang'oro
Follow me I follow you jeshi ya makondoo

We tulia nipate ganji nirudi niwakunie
Alafu muite hao mambleina wote niwatumie
Bitch ni bad manners hebu waite wanivulie
Siwezi pika recipe niwache mnikulie

Sipendi chuma napeanaga chuma huskii
Ukiskia roumours tumejituma huskii
Ukiskia homa kuna Kaluma huskii
Ka amemea mbogi itamvuna huskii

Leo ni ile siku, ok
Hatutoki bila looku, ok
Mbogi yote ina kutu, ok
Mtu wako akikutoka morio usinishuku

Leo ni ile siku, ok
Hatutoki bila looku, ok
Mbogi yote ina kutu, ok
Mtu wako akikutoka nyonga io nugu

Ah mi sikani drugs natumianga leaves
Meat ka ni nyama napendaga beef
Leo ambia Adam nimeteka Eve
Niko na kitam morio wine kudeceive

Kusoma nimesoma end of chapter
Leo nakudunga kama cactus
Ka ni movie ya ngwati mi ni actor
Naogopaga panya sana naeza taka paka

Aah mwambie atalia ka Oyando
Ukiskia nduru kuna mambo
Mwambie tumejipin ka Rambo
Anti-social hatutambui hizo bundle

Sipendi chuma napeanaga chuma huskii
Ukiskia roumours tumejituma huskii
Ukiskia homa kuna Kaluma huskii
Ka amemea mbogi itamvuna huskii

Leo ni ile siku, ok
Hatutoki bila looku, ok
Mbogi yote ina kutu, ok
Mtu wako akikutoka morio usinishuku

Leo ni ile siku, ok
Hatutoki bila looku, ok
Mbogi yote ina kutu, ok
Mtu wako akikutoka nyonga io nugu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Movement Vol. 1 (Album)


Copyright : (c) 2021 Black Market Records


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

EXRAY

Kenya

Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...

YOU MAY ALSO LIKE