Beba Beba Lyrics

First things first, I thank God fi mi friends
10 years down tumetoka way back
One shot per friend
Nikikunywa nilewe watanibeba
Tushamultiply nipate na watoto tukicheza
Tumegraduate sahii kila couple inatesa
Haijalishi ni Nini napitia
Nina mbogi ya watu real weunishikilia
Mbegu za kushare quarter tulipalilia
Sahi kreti ya manyatta tumekanyagia
I never thought bila kushare damu stranger angekuwa familia
True friendship ni gospel, kama believer na aminia
Nikiona kesho, naomba niione na wewe
Baraka zangu, wagawe kidogo upewe
Siku yangu ya mwisho, omba sana ichelewe
Na nata ikifika, wa kunikumbuka ni wewe
Nikiona kesho, naomba niione na wewe
Baraka zangu, wagawe kidogo upewe
Siku yangu ya mwisho, omba sana ichelewe
Na nata ikifika, wa kunikumbuka ni wewe
Ushaikuwa na mabeste mnastarve pamoja
ma'mboga anawafukuza ju ya vile mmekopa
Koja tulipatana tuchange za quarter
topa zilifanana tukienda kugotha
We didn't have much
Hatukuishi flashy
But tukilink
zilikuwa zinakanashi
Hii sampuli ya
Real one's Duniani
nakuambia ukiipata
We ni top shotta
Nikiwa depressed mkaongeza mapenzi
Nikiwa na less mkafanya nisibegi
Nikiwa blessed tuna share kakeki
Nani ndio next, tukam tumcelebreti
I never thought bila kushare damu stranger angekuwa familia
True friendship ni gospel, kama believer na aminia
Nikiona kesho, naomba niione na wewe
Baraka zangu, wagawe kidogo upewe
Siku yangu ya mwisho, omba sana ichelewe
Na nata ikifika, wa kunikumbuka ni wewe
Nikiona kesho, naomba niione na wewe
Baraka zangu, wagawe kidogo upewe
Siku yangu ya mwisho, omba sana ichelewe
Na nata ikifika, wa kunikumbuka ni wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
VIJANA BARUBARU
Kenya
V-BE is a music duo made up of Mshairi Spikes, a rapper with a great influence on poetry, and Tuku K ...
YOU MAY ALSO LIKE