Home Search Countries Albums

Bombo

EXRAY

Bombo Lyrics


Nyamazisha kimdomo shhh tumia
We ni wa mathongo shhh tumia
Kushikisha na ile mbogi ulibakisha rogo
Vile ikiwa jamo tene tulikuwa jong'o

Bombo harakisha bombo
Bombo bakisha mabombo
Bombo shake shake bombo
Bombo kidole cha kati
Kwa hio mbogi ya mabombo

Bombo harakisha bombo
Bombo bakisha mabombo
Bombo shake shake bombo
Kidole kwa video
Kwa hio mbogi ya mathong'o

Mi usiwahi nitag kwanza tag hao others
Si ati umenilea mi ni mtoto wa Agatha
Gwethe haiwezi shika mbogi ka haijagatha
Nyi ni ma athuthu mlisha ishaga ladha

Bomboclat Hessy, bomboclat honor
Mind your head jeshi wako love combat
Mbogilise Kasim looku ni ya Gikomba
Mbogi ya kunyonga siku hizi ni madonga

Macho daily red mbogi inadepend
Mbogi inapretend hii ni mbogi ya madem
Mbogi ya makeg ama mbogi ya mathe
Mbogi ya mapeng na ni mbogi ya kutweng'

Hio Subaru in town ni ya ma DCI
New slang in town cheki ati ni mangwai
We si mbogi ya mareng hio ni mbogi ya BBI
Ulikuwa mbleina chuo leader BBI

Nyamazisha kimdomo shhh tumia
We ni wa mathongo shhh tumia
Kushikisha na ile mbogi ulibakisha rogo
Vile ikiwa jamo tene tulikuwa jong'o

Bombo harakisha bombo
Bombo bakisha mabombo
Bombo shake shake bombo
Bombo kidole cha kati
Kwa hio mbogi ya mabombo

Bombo harakisha bombo
Bombo bakisha mabombo
Bombo shake shake bombo
Kidole kwa video
Kwa hio mbogi ya mathong'o

Kivitu nitachocha kishag
Ile jogoo ya jiji nilisharudisha shag
Juanga yangu ishakuwa nyoka na kifag
Na sigive a fck yeah hero fck

Skia we wa murder, huto wa manslaughter
Skia Umo shika mi huwapiga torture
Hata useti ndovu bado mi ni poacher
Hata udunge silver bado utagwaya copper

Hey miss pati pati niko mela
Nipate na wanati tuko mbeka
Nipate kwa hizi screen nikiuza sera
Nipate kwa hizi streets aii nikiwakera

Hey miss pati pati niko mela
Nipate na wanati tuko mbeka
Nipate kwa hizi screen nikiuza sera
Nipate kwa hizi streets aii nikiwakera

Nyamazisha kimdomo shhh tumia
We ni wa mathongo shhh tumia
Kushikisha na ile mbogi ulibakisha rogo
Vile ikiwa jamo tene tulikuwa jong'o

Bombo harakisha bombo
Bombo bakisha mabombo
Bombo shake shake bombo
Bombo kidole cha kati
Kwa hio mbogi ya mabombo

Bombo harakisha bombo
Bombo bakisha mabombo
Bombo shake shake bombo
Kidole kwa video
Kwa hio mbogi ya mathong'o

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Bombo (Single)


Copyright : (c) 2021 Boondocks Gang


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

EXRAY

Kenya

Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...

YOU MAY ALSO LIKE