Home Search Countries Albums

Chimney Lyrics


I swear ukinitoka mi ni badman
Siturn to Judas
Walai vile mtoto ameromaga
Sitaki goosebum

Alinipea all night till the morning
Mi nikampea shasha mane
Yeye aliniharibu na maganji
Kumbe mtoto alikuwa na jaji

Nilimshow will you kiss me kiss me
Love ya utoi, twende Disney disney
Vile amenikunywa nishaharibu kidney
Sijali stori ya moshi ye ni chimney chimney

Nilimshow will you kiss me kiss me
Love ya utoi, twende Disney disney
Vile amenikunywa nishaharibu kidney
Sijali stori ya moshi ye ni chimney chimney

[Scar Mkadinali]
My baby wanna kiss me kiss me
Mahater wako wengi na ni risky risky
Na hio taxin inafanya mpaka siskii whiskey
Na mix steam, chics biz mi sichiziki haha

Na kukaa kwa keja ni isssue
Kwanza ka msupa anajua umebeba uzito
Tunawakera by default
Trap niggas tunawawekea benga kwa disco

Na wakibonga tunawalenga waliko
Mi ninasonga am a men on a mission
Funny niggas tunawacompare na Mamitto
Sihitaji  Bima mi naweza tokea na ma olipo

Sidai fisa tisho ka ki Puma
Ati nishampita ju mi sitaki ma roumours
Steam ikiisha tunakuwa wanati na gunga
Naskia ma kingfisher ni ma panty remover

Nilimshow will you kiss me kiss me
Love ya utoi, twende Disney disney
Vile amenikunywa nishaharibu kidney
Sijali stori ya moshi ye ni chimney chimney

Nilimshow will you kiss me kiss me
Love ya utoi, twende Disney disney
Vile amenikunywa nishaharibu kidney
Sijali stori ya moshi ye ni chimney chimney

---
--

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Chimney (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

EXRAY

Kenya

Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...

YOU MAY ALSO LIKE