Disco Matanga Lyrics
"Popularly known as disco matanga"
"Almaarufu kama disco matanga"
"Don't play disco matanga"
"Kuna disco matanga..."
"Furahia mziki huwa inapiga kwa sauti ya juu zaidi"
Eeh (Bryon baby)
Eeeh eeh, eeh..
Majamaa tuheshimu matanga
Mengi sumu hayaa..
Na kwa mbao yangu
Wambo Kanambo akuje hapa tukisonganga
[Zzero]
Si ndo wale hupiga tamasha kwa matanga
Whiskey inamix iwa na changaa
Ukishika dem bado unamokia ka guarana
Na ikijipa backstage utapata tukikazana
Yoh, disco matanga, eeh jo disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Disco matanga, eeh jo, disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Entry ni madem na mamorio wanachoma
Sssh! Ustake jua vile wanachoma
Gazeti yangu ndo naona mkiisoma
Na iskuwe hapo mnapanga kunipona
Tia lawama mi sinanga chuki
Usijifanye mtamu na hauitangwi nyuki
Bash ni official na tumepiga bila suti
Hapa tabia mbaya wote wanatoa chupi
John John, yes papa
Eating sugar, no papa
Telling lies, no papa
Open your mouth say ah ah ah
Tumetokea kwa ngero
Tunakatia mangeus wa mangero
Tunapatiana shoulder to lean on
Wakitupatia mavodoo ma Guino
Wengine wako sad wengine wanapretend
Wamefanya matanga ikae ka weekend
Wamedunga ni ka wanaenda club
Kwa disco matanga unaeza ona maajabu
Polititiana anakuja kudanganya kwa matanga
Na pesa ya wananchi akizubaa na marasa za wamama
What a shame, what a shame
Jaribuni kuheshimu disco matanga
Yoh, disco matanga, eeh jo disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Disco matanga, eeh jo, disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Naishi life imejaa na favour
Na give thanks to Jah it's my pleasure
Tukiwachana mwingine nitapenda
Status ma updates tukidarana
World boss man a gyalis
Nikitokeaga kwa scene
Look bado huwaga safi
Shati white alafu look badder safi
Mambling kwa shingo utadhani nimetoka Wasafi
Khakhi ma "SSh Sssh" easy skunking'
Top shatta ghetto mi hukuwa top ranking
All dem galdem say me dem wanting
Na sikuwangi sufria, always got something
Utaniua na Sufuri hii beat moja tunairarua
Ki wash and wear tunaikamua
Harufu ni mbaya tushanyamba
4W 00 si ndio namba
[Scar Mkadinali]
Huwanga na insist mi sideal na ngati
Na mix ingi Whiskey na ratish
Mi ni biggie mi si dance ingi kwa party
Na shingo imefreeze sa hizo chini ni mambati
Baby ati sku hizi umezoea mashash tu
Mi unanikumbuka primo nikichomea staffroom
Umeweza utapewa vile unadai boo
Mi nairowesa mpaka inapita curfew
Hawa watoto wananijua
Nilitokanga Eastlando makoto zikapungua
Na hio jaba bila ugoro itaniua
Mi ni badman na karoro ni kambua
Yoh, disco matanga, eeh jo disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Disco matanga, eeh jo, disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
[Rekles]
Ati mamzinga mamzinga ni maflash natapika
Staki jo party cup, cheki nachachisha
Oya ju sioni wapishi ni saa mbili siskii harufu ya dishi
Na unacheka na nani gathee
Ka ni makali jua hakuna we kuja na Keg
Hauna magwado aah, kadekini kiasi tunaibatiza Zakayo
Tupenda madem wanakaa ka Betty Kyallo
Betty nakupenda naeza swear bila bible
Bedroom na macandle, cheki nimekafunga
Nafungua IG na bundles
Yoh, disco matanga, eeh jo disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
Disco matanga, eeh jo, disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya ki star boy hebu tazama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Disco Matanga (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
EXRAY
Kenya
Exray aka X Ray or Taniua real name Tony Kinyanjui is an artist from Kenya. A member of th ...
YOU MAY ALSO LIKE