Makuu Lyrics
Eeh baba niseme nini kwako
Niseme nini kwa kwako
Unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako
Unayotenda ni makuu
Umenipenda kuliko yeyote duniani
Dhamani yako baba imezidi
Niseme nini uliyotenda ni mengi Bwana
Eeh Baba umepanguza machozi yangu
Umenitoa mavumbini nashukuru Bwana
Ndio maana najiuliza mimi
Niseme nini kwako?
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Ni nani asiyejua kazi za mikono yako
Unayotenda ni makuu
Umeniinua toka mavumbini
Umeniketisha na wafalme
Ni nani aliye kama wewe
Unayetenda ni makuu
Ni nani asiyejua kazi zako
Unayotenda ni makuu
Kuna wakati nilishindwa
Ukaniona Bwana ukanikumbuka
Kuna wakati machozi yalinidondoka
Bwana ukanihurumia mimi ooh
Nikitafakari ulivyonipenda Bwana
Mimi niseme nini itoshe kukueleza
Hapo ndipo nimejua
Wewe ni mwingi wa huruma
Umejaa pendo unatupenda wote Bwana
Mimi sitakuacha Bwana
Niende kwa nani?
Nitakufuata milele na milele
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
Niseme nini kwa kwako, unayotenda ni makuu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Makuu (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
TUMAINI AKILIMALI
Kenya
Tumaini Akililimali also known as Pastor Tumaini is a Kenyan gospel artist best known for 'Ni We ...
YOU MAY ALSO LIKE