Nuru (ft. Nandy) Lyrics

Akikaa na mashoga zake sifa kwangu mimi
Anadai ni mimi tu mwingine wa nini?
Alivyo ni beautiful nashindwa kuamini
Minywele misinga singa macho kama jini
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
You give me appetite
Nakunyonya mpaka my love bite
You give me appetite
Nakunyonya mpaka my love bite
You make me say, we ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
We ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
She make me say, we ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
We ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
Akikaa na rafiki zake sifa kwangu mimi
Anadai ni mimi tu mwingine wa nini
Alivyo ni handsome boy nashindwa kumuamini
Mirasta misinga singa macho kama jini
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
You make me say, we ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
We ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
She make me say, we ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
We ni nuru
Lalala la...laaa lalalala
Come close, come closer
Tonight ooh come closer
Beiby come closer
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Asante Mama (Album)
Copyright : (c) 2021 MMB (Manzese Music Baby)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE