Home Search Countries Albums

WAYU WAYU

DOGO JANJA

WAYU WAYU Lyrics

Ahhh ! Wayu wayu woooh ooh !
Buda boss bad man on this tinga
Wayu wayu Woooh ooh !
(MJ Recrods)
Wayu wayu Woooh ooh !

Wanashangaa wale jamaa
Wenye napendwa sana (mimi nawe)
Mi kidagaa, na sina chapaa
Ndipo wananitukana ( mimi nawe)
Nawakanyaga kama soksi zangu (buda boss)
Na bado napingana na hali yangu (bad man)
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu
Eti mama, sinakufaa
Natunafikishana ( mimi nawe)
Inuka kaa, kazime taa
Mi nalima sana (mimi nawe)
Nawakanyaga kama soksi zangu (buda boss)
Na bado napingana na hali yangu (bad man)
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby)

Ahhh Wayu Wayu wooh ooh
Ahhh Wayu Wayu wooh ooh
Ahhh Wayu Wayu wooh ooh
Ahhh Wayu Wayu wooh ooh

Mtoto jicho kungu manga
Wala hautoki tanga
Hata nikiwa na njaa
Hawa nawaza kukumanga
Vita yetu kwenye bedi siyo ya panga
Si wapinzani ye simba mi nyanga
Mdalawane emuarenawe
Wanamualaa (wanamualaa) eeh !
Muruchi wange kadiche wange
Wanamualaaa ( wanamualaa) eeh!

Wakija kwako na maneno musururu
Wanakuambia natumia puturu
Wote wambea waonga ka kunguru
Lakini bahati mbaya mdomo
Hatulipi ushuru

Nawakanyaga kama soksi zangu (buda boss)
Na bado napingana na hali yangu (bad man)
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby)

Aahh Wayu wayu wooh ooh!
Aahh Wayu wayu wooh ooh!
Aahh Wayu wayu wooh ooh!
Aahh Wayu wayu wooh ooh!
Aahh Wayu wayu wooh ooh!

Hawakanyaga kama soksi zanga (buda boss)
Na bado napingana na hali yangu (bad man)
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby)
Nawakanyanga kama soksi zangu (buda boss)
Na bado napingana  na hali yangu (bad man)
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby)
Aahh! Wayu wayu
Wooh ooh!

Wowowoah! Woah woah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2018

Album : Wayu Wayu (Single)

Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

DOGO JANJA

Tanzania

Dogo Janja is a rapper from Dar es Salaam, Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE