Nana Lyrics
Nananana nanaa
Onana nana
Nanana onanaa
Onana
Nishazuguka kote duniani
Kama wee sijamuona
Gari umeliwasha washa
Washa washa washa angani
Pole pole wee mkia mwendo wako
Ukitembea hutokwi jasho
Unang’ata kucha unafumba macho
Zitaniua pigo zako
Sir God amekupamba we alloo
Amekupa nyumba yaani mpaka choo
Makolo wakikijaza wee wa ignore
Akili kichawani iih eeh
Ooh mama mama
Mwaka huu watakomama eeh
Watasubiri sana sana
Kuja kuachana
Unanifanya naimba (onana nanaah)
Kichwani umenikaa (onana nanaah)
Nauwambie eeh moyoni umenijaa (onana nanaah)
Oh nana, oh nana
Mmh aah moyoni umenijaza
Oh na na moyoni umenikaa
Oh lala eeh
Nataka ni invest kwenye body uwe unapendeza
Aah zaidi ya kina nai
Usinyoe baby uwe unasuka ukikopeshwa
Mi nitalipa wakidai
Hao mabisho kawakataa kwa mangi kaweka koma
Pisi kapenda viwalo vya ilala boma
Baby unanifanya nikijikia kufa kufa kufa
Unanirudisha uhah
Ooh mama mama
Mwaka huu watakomama eh
Watasubiri sana sana
Kuja kuachana
Unanifanya naimba (onana nanaah)
Kichwani umenikaa (onana nanaah)
Nauwambie eeh moyoni umenijaa (onana nanaah)
Oh nana, oh nana
Mmh aah moyoni umenijaza
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Nana (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE