Home Search Countries Albums

Nikuone

DAYOO

Nikuone Lyrics


Naitwa mangii oyeyee

Ona, umenikaa kichwanii
Ndoto zangu kuwa na wew
Au kwani, uko nchi gani
Ama uko far away
Au uko Puerto rico china
Nambienije huko me
Maana me natanga tanga
Kipofu niso ona mwanga
Me simjui jina wala kabila ila nimezamaa
Nisha wahi kumuona ila kwa fikraa
Uzuri wake hakuna kama yeyeee (haataa)

Nipige gita maina
Nikuimbie kutwa I’m ready
Na ningeijua namba hata ningekucheki baasi
Nipige gita maina
Nikuimbie kutwa I’m ready
Ningeijua namba yako hata ningekucheki nikupigie wewee

Nikuonee
I’m waiting for you
Nakusubirii
Nikuonee
Hata nikiona mikono ntajua ni wewe tu
Nikuonee
Maana macho yako kama una aibu
Nikuonee
Achana na mikono tuangalie miguu
Oyeee
Onanana

Na ulivyo special na haka kamoyo nikupe
Chote chote
Twende chuga uchagani
Ama unataka Dodoma twende kote kote
Nikupeleke kwa mama angu
Nakifatacha ndoa tuoanee
Nausitake madrama, mafiki ya mitando tuachaneee

Nipige gita maina me
Nikuimbie kutwa I’m ready
Na ningeijua namba yako ningekupigia wewee
Nipige gita maina
Nikuimbie kutwa I’m ready
Hata ningekucheki basi ujee

Nikuonee
I’m waiting for you
Nakusubirii
Nikuonee
Hata nikiona mikono ntajua ni wewe tu
Nikuonee
Hata macho yako kama una haibu
Nikuonee
Onanana see tuangalie miguu
Uyeee
Wanambita mangui
Yani mangui

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Nikuone (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

DAYOO

Tanzania

Dayoo is a musician from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE