Unatosha Lyrics
Iwe kiangazi ama masika
Iwe jua mvua imenvesha
Nitakupenda daima ooh weeh
Ikitokea nimepata tumekula tumelala
Ata nikikosa unavumilia mama ooh weeh
Hata uzunguke aunia nzima huwezi pata kama huyu
Huyu baby wangu
Hata wakisema ngoja chagua mmoja
Kwenye million moja we ndio nambia moja
Maana unanifaa mama, moyoni umenikaa nanaa
Unatosha sitaki ongeza mwingine
Ila wewe unanitosha, unanitosha
Unatosha sitaki ongeza mwingine
Ila wewe unanitosha, unanitosha
Utamu wa peremende
Umeninogesha nikupenda
Usiniache ukapita upande my weeh
Ntatafuta na kakiwanja tujende
Tumiliki kwetu tusipange
Majirani kichwani wasitupande, mi na wewe ooh wee
Hata uzunguke dunia nzima huwezi pata kama huyu
Huyu baby wangu
Hata wakisema ngoja chagua mmoja
Kwenye million moja we ndio nambia moja
Maana unanifaa mama, moyoni umenikaa nanaa
Unatosha sitaki ongeza mwingine
Ila wewe unanitosha, unanitosha
Unatosha sitaki ongeza mwingine
Ila wewe unanitosha, unanitosha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Unatosha (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE