Home Search Countries Albums

Utalala

DAYOO

Utalala Lyrics


Kiukweli mi sina kitu
Hali yangu kama unavyoona
Ni mishe za kule na huku
Viwalo vyangu vya ilala boma
Je kwel umeridhiana na mi
Vijora vya buku sita utavaa baby
Kuna maneno mengi mtaani 
Mara nakuzeesha utaimili kweli 
Usiropoke ukinuna ukiwa na hila 
We niseme ata nikiwa na hasira 
Usijifunze kukaa na jambo moyoni 
Litakuja lisumbue baadae
Utakutana na nguna je we utakula
Vya kulumangia ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina je utavumilia 
Umekuja mazima we uje mazima

Na jee baby utalala lala
Usingizi mororo utalala lala 
Kwenye bangaroo  giza totoro  utalala lala
Ghetto na ndoo tu na godoro utalala lala
Kesho tuamkie kiporo 

Nashukuru umeona unifae 
Wakati ambao nipo juu ya mawe
Ushaamua nshaamua na iwe
Sa baadae usije unikatae

Kiganjani mwangu usiniponyoke 
Tupendane wambea tuwadondoshe
Yani baby nishike twende wote 
Wakikutisha nipo ivyo usiogope 
We kwangu zaidi ya sarafu sarafu baby 
Kukupenda mbona sana tu sana baby
Na je wewe
Utakutana na nguna je we utakula
Vya kulumangia  ndo nazingatia
Msaada wa ndugu sina  je utavumilia 
Umekuja mazima we uje mazima

Na jee baby utalala lala
Usingizi mororo utalala lala 
Kwenye bangaroo  giza totoro utalala lala
Ghetto na ndoo tu na godoro utalala lala
Kesho tuamkie kiporo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Utalala (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

DAYOO

Tanzania

Dayoo is a musician from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE