Nidokoe Lyrics

Jamani kupendwa raha
Acheni nijishaue
Zaidi ishakutia dawa
Nichanganye ni wewe
Mapenzi yamenikaba
Na ile michezo mahaba
Zidisha tu baba
Zaidi ning'ang'anie
Na lile tendo chumbani
Ukiwa kifuani na hilo joto ndani
Nakupa maruani wewe
Sikuachi wewe
Na lile tendo chumbani
Ukiwa kifuani na hilo joto ndani
Nakupa maruani wewe
Sikuachi wewe
Kachiri kachiri
Zinanikosha zako kachiri
Funga kufuli tuwe wawili
Kwenye giza unyakue unyakue eeh
Kachiri kachiri
Zinanikosha zako kachiri
Funga kufuli tuwe wawili
Kwenye giza unyakue unyakue eeh
Aii nampenda(Napenda ukirembua)
Ninampe(Kiuno ukinengua)
Ninampe(Mzuri unajijua)
Ninampe(Ananikoshaga iyee)
Ninampenda(Napenda ukirembua)
Ninampe(Kiuno ukinengua)
Ninampe(Mzuri unajijua)
Mi nampenda(Ananikoshaga iyee)
Kanafanya nidokoe
Kanifanya nidokoe dokoe
Aii kanifanya nidokoe
Kananifanya nidokoe
Mwarika wa kungwi ameyajua
Nakesha bundi sioni pa kutua
Nguvu za kirundi, anatibua
Wakifunika ye, anafunua ayee
Ana laini jojo(Jojo)
Utamu mpaka kwa kisogo(Kisogo)
Niringishie dodo(Dodo)
Nami nitakupaga muhogo(Wa jang'ombe)
Kiuno kiuno(Kiuno)
Kakupa mama hicho kiuno(Kiuno)
Fundi wa kuzungusha kiuno(Kiuno)
We ni hodari(Kiuno)
Kiuno kiuno(Kiuno)
Kinyongorote hicho kiuno(Kiuno)
Nami unipe humo kwa humo(Kiuno)
We ni hodari(Kiuno)
Kachiri kachiri
Zinanikosha zako kachiri
Piga kufuli tuwe wawili
Kwenye giza nidokoe
Kachiri kachiri
Zinanikosha zako kachiri
Piga kufuli tuwe wawili
Kwenye giza nidokoe
Aii nampenda(Napenda ukirembua)
Ninampe(Kiuno ukinengua)
Ninampe(Mzuri unajijua)
Ninampe(Ananikoshaga iyee)
Ninampenda(Napenda ukirembua)
Ninampe(Kiuno ukinengua)
Ninampe(Mzuri unajijua)
Mi nampenda(Ananikoshaga iyee)
Kanafanya nidokoe
Kanifanya nidokoe dokoe
Aii kanifanya nidokoe
Kananifanya nidokoe
Kanafanya nidokoe
Kanifanya nidokoe dokoe
Eeh kanifanya nidokoe
Kanifanya hivi
Nampenda(Napenda ukirembua)
Ninampe(Kiuno ukinengua)
Ninampe(Mzuri unajijua)
Ninampe(Ananikoshaga iyee)
Ninampenda(Napenda ukirembua)
Ninampe(Kiuno ukinengua)
Ninampe(Mzuri unajijua)
Mi nampenda(Ananikoshaga iyee)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nidokoe (Single)
Copyright : (C) 2019 Music MasterPiece Entertainment
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DANZAK
Tanzania
DanZak is an artist/singer/songwriter and airline pilot. from Tanzania, based in The Middle East. ...
YOU MAY ALSO LIKE