Umetukuka Lyrics

Mfalme Mwema Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
Mfalme Mwema Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu
Umetukuka
Mtakatifu mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako
Mtakatifu mtakatifu
Bwana wa majeshi
Dunia Yote imejawa
na utukufu wako
Twakupa Heshima na sifa zote
Ewe Mungu Umetukuka
Twakupa Heshima na sifa zote
Ewe Mungu Umetukuka
Ewe Mungu umetukuka
Ewe Mungu umetukuka
Ewe Mungu umetukuka
Ewe Mungu umetukuka
Umetukuka
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Umetukuka (Single)
Copyright : ©2016
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
ISRAEL EZEKIA
Tanzania
Israel Ezekia is a Full Time Praise and Worship Minister, and works In Praise Celebration Ministries ...
YOU MAY ALSO LIKE