X
Pendo la Mungu Lyrics
Naona pendo kubwa mimi
Latoka kwa mwokozi wangu
Nipe kama maji mengi
Yatembeavyo baharini
Lanitolea tumaini
Yakwamba nitajua Mungu
Na niwe Mungu hodari tena
Kwa pendo kubwa la mwokozi
Lanitolea tumaini
Yakwamba nitajua Mungu
Na niwe Mungu hodari tena
Kwa pendo kubwa la mwokozi
----
----
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kitu Gani (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE