Home Search Countries Albums

Unamjua

TAMIMU

Unamjua Lyrics


Okay ah Tamimu hapa
Original boy

Mtoto wa mjini akitunza pesa sio bosheni
Akitunza antunza kweli, usimdiss bwana wee 
Mtoto wa mjini akitunza pesa sio bosheni
Akitunza antunza kweli, usimdiss bwana wee 

Mashalove unamjua? Unamjua?
Wanjala unamjua? Unamjua?
Posh Queen unamjua? Unamjua?
We Mobetto unamjua? Unamjua?

Wema Sepetu pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo
Gigy Money pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo
Irene Uwoya pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo
Case Chocolate pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo

We mtoto wa mjini agonge hii bia
We kunywa tu, we usiogope kutumia (Weka)
We mtoto wa mjini agonge hii bia
Ikija bill utalipia

Eti masela, wahuni
Wapelekeni madem zenu salooni
Masela, wahuni
Wapelekeni madem zenu salooni

Mama Cookie unamjua? Unamjua?
Mama Dangote unamjua? Unamjua?
Thike Shupa unamjua? Unamjua?
Official Nai unamjua? Unamjua?

Esma Platnumz pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo
We Nana Mapozi pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo
Lulu pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo
Queen Darlin pesa nyingi nauliza utamweza wapi huyo

Unaenda mbele kidogo, unarudi nyuma kidogo
Unachuchumaa hapo hapo pinda mgongo
Unaenda mbele kidogo, unarudi nyuma kidogo
Unachuchumaa hapo hapo pinda mgongo

We babu Juma ameshasimama
Anataka chura nyelana, we iokote, we iokote
We chuma kwa chuma kwa chuma 
Waonyeshe alichokupa mama, nipe yote nipe yote

We kama unakwenda chini za dabo kibini
Waonyeshe ulivyopagawa ndo unavyo kibini
We kama unakwenda chini za dabo kibini
Waonyeshe ulivyopagawa ndo unavyo kibini

Oh jamani kiuno, kiuno
Mama zungusha mpaka upagawe kiuno
Meneja sa kiuno, nasema kiuno
Aliposhika mpaka uchachawe kiuno

Oh jamani chekecha unavyochekecha habari ndo hiyo
Michezo ya kukuna nazi, niazime chujio
Oh jamani chekecha unavyochekecha habari ndo hiyo
Michezo ya kukuna nazi, niazime chujio

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Unamjua (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TAMIMU

Tanzania

Tamimu is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE