Home Search Countries Albums

Are You Happy?

MOTRA THE FUTURE

Are You Happy? Lyrics


Are you happy now?
Are you happy ?
Are you happy now?

Crush uliyemtaka umempata
Ndoa umeisaka umeipata
Are you happy ?
Shule umeenda ume surfer
Kazi uliyosomea umeipata
Are you happy now?
Je unafuraha,ama ni karaha
Are you happy ?
Je unafuraha,ama ni karaha
Are you happy now?

Uliloga ili ufanikiwe leo umefanikiwa kwa nguvu za giza
Are you happy ?
Uliiba kwa nguvu ukauwa vipi leo msibani ukikatiza
Are you happy now ?
Kila nikienda nikirudi nakukuta uko high na watu and you party
Ila ni kwa beer za kupewa, ndo maana najiuliza kichwani
Are you happy ?
Je unafuraha,ama ni karaha
Are you happy ?
Je unafuraha,ama ni karaha
Are you happy now?
Crush uliyemtaka umempata
Ndoa umeisaka umeipata
Are you happy ?
Shule umeenda ume surfer
Kazi uliyosomea umeipata
Are you happy now?

Mke wako alizingua badala myajenge ukatafuta mchepuko
Are you happy ?
Ndio maisha yalizingua na wewe ndo ukachagua kuishi vile venye uko
Are you happy now ?
Miaka mingi unahangaikia ujuzi, ila nakuuliza tokea juzi
Are you happy ?
Najua hakuna anayetaka ku loose ila kwa decision uliyochoose
Are you happy now ?
Washkaji zako uliwathamini sana, leo unashida wameingia mitini
Are you happy ?
Maisha yako ni mazuri sawa ila vile wazazi wako masikini
Are you happy now?
Kwa pisi ulienda kichwa kichwa hukuuliza ukafika akakutuliza
Are you happy ?
Kuna time mdomo unaweza ukacheka, ila moyo ukakuuliza
Are you happy ?
Je unafuraha,ama ni karaha
Are you happy ?
Je unafuraha,ama ni karaha
Are you happy now?
Crush uliyemtaka umempata
Ndoa umeisaka umeipata
Are you happy ?
Shule umeenda ume surfer
Kazi uliyosomea umeipata
Are you happy now?
Je unafuraha,ama ni karaha
Je unafuraha,ama ni karaha
Are you happy now?
Are you happy? Happy now?
Are you happy?
Are you happy now?
Are you happy now?
Are you happy now?

Happy happy happy is the life
Happy happy happy is the life
Happy happy happy is the life
Happy happy happy is the life

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Are You Happy? (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MOTRA THE FUTURE

Tanzania

Motra The Future is a rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE