Muujiza Lyrics
Nikilala niamke, nikiona natembea
Mwenzenu kwangu ni muujiza
Asubuhi kunakucha jioni ikiingia
Maisha yangu mimi ni muujiza tu
Siku ikipita mwezi na mwaka unapita
Mimi kwangu ni muujiza tu
Yesu, Yesu bwana wangu eh
Oh kwangu ni muujiza
Mimi ni muujiza
Maisha yangu mimi ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
Nikilala ni muujiza, nikiamka ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
Kuna walio lala, hawakuamka
Eh bwana naona ni muujiza
Walioanza safari hawakufika
Mimi leo najiona ni muujiza
Kuwa hai, kutangaza neno lako
Bwana kwangu mimi ni muujiza
Sina sababu ya kunyamaza
Maana kwangu ewe bwana ni muujiza
Mimi ni muujiza
Maisha yangu mimi ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
Nikilala ni muujiza, nikiamka ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
Hoyee, hoyee, eh Yesu wee hoyee
Hoyee kwa Yesu eeh, Yesu wangu
Mimi ni muujiza
Maisha yangu mimi ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
Nikilala ni muujiza, nikiamka ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
Mimi ni muujiza
Maisha yangu mimi ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
Nikilala ni muujiza, nikiamka ni muujiza
Eh bwana we kwangu ni muujiza
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Muujiza (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE