Home Search Countries Albums

Na Iwe Lyrics


Utokapo na uingiapo na uendapo aah oh
Baraka na zikufuate na kila uendapo
Uketipo usimamapo na ulalapo aah ooh
Naiwe, naiwe, na iwe, na iwe

Na iwe, siku ya baraka 
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe 

Ni baraka tunapokea tunashukuru sana
Kutuinua na kutupenda unatupenda sana
Mwangaza na kubwa nuru twaiona njiani
Tusimame na tukusifu 

Naiwe, naiwe, na iwe, na iwe

Na iwe, siku ya baraka 
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe 

Naonyeshwa upendo wako juu yetu
Ukafanya neno liwe njia kazi yetu
Maisha yetu baraka zako wewe Baba
Nitakusifu kukuabudu daima 
Maisha yetu baraka zako wewe Baba
Nitakusifu kukuabudu daima 

Naiwe, naiwe, na iwe, na iwe

Na iwe, siku ya baraka 
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : 20 (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LADY JAYDEE

Tanzania

Lady Jaydee also known as Binti Machozi, real name Judith Wambura is a recording artist from Tanzani ...

YOU MAY ALSO LIKE