Home Search Countries Albums

Puuh

BILLNASS Feat. JAY MELODY

Puuh Lyrics


Jay once again mmmh
Nenga aaah

Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo  unadunda puuh
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Uh lala

Hi
Wacha niseme kitu buu
Siwezi kukutoa machozi
(…)
Valentine sio inshu kwetu
Si ni siku tu
Najua unapenda zawadi magiit
Na ndo maama work hard
Iwe shida ya mavazi chakula na maradhi
Sometimes niko radhi nijirisk
Nachorrahi hata nikikosa unaniombea kwa mungu
Wapo waliowahi nitosa kisa sina fungu
Nakumbuka long time, ilivyokua hard time
Kabla hujanitoa kwa ukungu
Ushaambiwa maneno shaziii
Ushaambiwa me sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi nab ado ukanitaji
Ushaambiwa maneno shaziii
Ushaambiwa me sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi nab ado ukanitaji

Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo  unadunda puuh
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Uh lala

Check unvopinda ukivaa unapendeza
Team ishakuamini chagua namba utakayocheza
Macho yakichookozi yan kama unakonyeza
Spending money for your love kwako nawekeza
Zuuu zuuu zuuu zuuu ushanizuzua
Nishakuvisha vyeo (….)
Na kitu usichojua hata wakisema unajiuza
Waambie mimi ndo ninaye kununua
Ushaambiwa maneno shaziii
Ushaambiwa me sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi nab ado ukanitaji
Ushaambiwa maneno shaziii
Ushaambiwa me sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi nab ado ukanitaji

Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo  unadunda puuh
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Uh lala
Mmmh mmmh mmmh mmmmh
Mmmh mmmh mmmh mmmmh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Puuh (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BILLNASS

Tanzania

Billnas is a Tanzanian artist. ...

YOU MAY ALSO LIKE