Mafioso Lyrics
(Its S2kizzy beiby)
Aaahh...haya mafioso
Aaahh...haya mafioso
Mafioso mafio mafioso mafio(Mafioso)
Mafioso mafio mafioso mafio(Haya mafioso)
Nashukuru Mungu kanipa uwezo multipurpose
Watoto wadogo level zenu nyie ni pampers
Outfit zangu haziwafit aaah bas
Si unataka kuwa bill za Nass
Mitaani road patrol sijawahi kuajiriwa
Nafocus bro ndo maana siwezi kutawaliwa
Mnaomba sana doh ndio maana mnadharauliwa
Na madem zenu fool ndio maana wanabanduliwa
Sturagi ni za ng'ang'ang'a excuse
Waambie majamaa walinikuta sina mood
Sitwagini silaha ikakukosa ikarudi(Ikarudi, ehee)
Waambie majamaa walinikuta sina mood
Pata kidogo ushukuru
Hata ukikosa usikufuru
Pata kidogo ushukuru
Baba
Aaahh...haya mafioso
Aaahh...haya mafioso
Mafioso mafio mafioso mafio(Mafioso)
Mafioso mafio mafioso mafio(Haya mafioso)
Trust me nimewekeza mda wangu
Hamwezi nipoteza labda mtoke na roho yangu
Kuni-crush me sio nyinyi labda dem wangu
Shehe ni yule yule leo nimebadili kanzu
Naishi mtaa mliopewa warning msipite
Hapa polisi pale baa hakuna tatwishe
Si mnajifanya vichaa muulizeni Chris jike
Msiba kwa jirani mama usipike
Ya nini ufie uwezo wa mwanadamu ndile?
Anayeweka kuumbuka udongo kama mbivu ingine
Yaani nifeel nikiwa na chance nyingine
Nikiwa na elimu kidogo napiga brush wengine
Pata kidogo ushukuru
Hata ukikosa usikufuru
Pata kidogo ushukuru
Baba
Aaahh...haya mafioso
Aaahh...haya mafioso
Mafioso mafio mafioso mafio(Mafioso)
Mafioso mafio mafioso mafio(Haya mafioso
Pata kidogo ushukuru
Hata ukikosa usikufuru
Pata kidogo ushukuru
Haya
(Lizer on the Mix)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Mafioso (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE