Home Search Countries Albums

Naleft

BILLNASS Feat. WHOZU

Naleft Lyrics


Siku hizi kwenye group huwa sichangii mada, iyee
Sipendi group kama halina vimada
Picha za tuk zamaliza mb sana
Bundle la book data mb nane

Admin kaniadd kimakosa(iyee)
Inbox wana wanaomba vocha
Screenshot za iyo daro zinachosha
Katongoza dem kwa makopa kopa

Oyaa, kifo cha mende
Styli ni moja, kifo cha mende
Wahuni hatuna dhambi, kifo cha mende
Tunajikongoja

Mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina

Mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina

Mi naleft kwa group(oya)
Muda mchache mambo ni mengi(ayee) 
Ona video ya mtumishi(vuma)
Kondoo kachungwa kalishwa penzi

Imejideleti kistarabu
Niache na style ni wivu tu
Uzuri wa make-up gadhabu 
Mapicha we, ni filter tu 

Iyee, wazee wa biriani, kifo cha mende
Styli ni moja, kifo cha mende 
Wahuni hatuna dhambi, kifo cha mende
Tunajikongojaa

Mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina

Mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina(mi naleft)
Mina mina mina left mina

Wazee wa biriani, kifo cha mende
Styli ni moja, kifo cha mende 
Wahuni hatuna dhambi, kifo cha mende 
Tunajikongoja, kifo cha mende 

Kifo cha mende
Kifo cha mende
Kifo cha mende
Kifo cha mende

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Naleft (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BILLNASS

Tanzania

Billnas is a Tanzanian artist. ...

YOU MAY ALSO LIKE