Home Search Countries Albums

Mbutika

YOUNG DEE Feat. S2KIZZY

Mbutika Lyrics


Wakati mnapendana ilikuwa kale
Ilikuwa safi mkiongozana mmegonga sare
Sa ivi noma mnadundana hadi kwenye starehe
Mwisho wa siku wasio na kitu ndo watasema
Nisamehee

Macho kwa pesa tu moyo una ganzi
Atakupa presha uje kufa kidwanzi
Huna pesa, huna hadhi
Achana na mapenzi ebu tafuta kazi

Chako ni chenu ila chake ni chake
Sio kwake, sio kwenu hapo kwenu ni kwake
Ati una bwabo la pena
Wenzake wanaomwita shemu sidhani mwanake 

Wewe unajiona umefika
Yeye anakuona mbutika
Wewe unajiona umefika
Yeye anakuona mbutika

Mbutika kee mbutika
Mbutika, mbutika 
Mbutika kee mbutika
Mbutika, mbutika 

Mbutika eeh, mbutika, mbutika
Mbutika eeh, mbutika, mbutika
Mbutika eeh, mbutika, mbutika
Mbutika eeh, mbutika, mbutika

Hakuna hakuna mjanja wa mapenzi
Haruna, Fatuma huyo humuwezi
Sababu pesa huna ndio maana anakuona ndezi
Bora kuchina ukiskia siku hizi uko na deni

Acha ujinga bro rudi nyumbani
Usiwe ka Mbutika ka yule wa Gigy Money
Ka amekushinda tabia usipanic
Chunga asije kupa kesi ya mauaji

Kutwa unalia umekuwa vipi
Naskia haujakula so imepita wiki
Stress stress unakuwa chizi
Ushaongea kila kitu utampa nini?

Najua unajiona umefika
Mwenzio anakuona mbutika
Visa tu kila kukicha
Ashapiga simu akute home umepika bro

Wewe unajiona umefika
Yeye anakuona mbutika
Wewe unajiona umefika
Yeye anakuona mbutika

Mbutika kee mbutika
Mbutika, mbutika 
Mbutika kee mbutika
Mbutika, mbutika 

Mbutika eeh, mbutika, mbutika
Mbutika eeh, mbutika, mbutika
Mbutika eeh, mbutika, mbutika
Mbutika eeh, mbutika, mbutika

(It's S2kizzy beiby)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Daresalema (EP)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

YOUNG DEE

Tanzania

YOUNG DEE  is a recording artist and rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE