I Will Die For You Lyrics
Safari, safari ya wewe na me
Kweli ni mbali tumetoka mumy
Toka zoghofulhali ukagandana na me
Sasa twarina asali unaondoka mumy
Hakuna mfano eeh
Moyo utazizima, ukiniacha mwenyewe eeh
Chibuku ntalewa, nifungwe hata jela
Habibi ntalia usiniache
Ooh babe, will you die for me
Ooh babe, I will die for you
Ooh babe, will you die for me
Ooh babe, I will die for you
Mahaba yako mama angu
Ya moto mama sitemii
Yaunguza moyo wangu
Vichomi mwili vichomi
Nakueleza bayana
Moyo umeufunga sana
Chonde nahodha chunga bwana
Meli ya zama, woana
Hakuna mfano eh
Moyo utazizima, ukiniacha mwenyewe eeh
Chibuku ntalewa, nifungwe hata jela
Habibi ntalia usiniache
Ooh babe, will you die for me
Ooh babe, I will die for you
Ooh babe, will you die for me
Ooh babe, I will die for you
Hakuna mfano eh
Moyo utazizima, ukiniacha mwenyewe eeh
Ooh babe, will you die for me
Ooh babe, I will die for you
Ooh babe, will you die for me
Ooh babe, I will die for you
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : I Will Die For You (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
BENSON
Tanzania
Benson is an artist from Tanzania he is best known for his song "Hauzimi". ...
YOU MAY ALSO LIKE