Home Search Countries Albums

Hauzimi

BENSON

Read en Translation

Hauzimi Lyrics


Hummmm… Hummmm

Ni vi pi naweza kunagesha
Furahisha na pendo likolee
Nieleza kitu gani sijafanya au unafanya nakosea
Niwapi nitashika ukaridhika
Burundika na penda liendelee
Maana imekuwa nongwa kisa rika unambia
Swezi mengineee

Mapenzi ya upepo
Maana bendara mama we
Mwenzako moto
Hauzimi ! hauzimi!
Mwenzako moto Hauzimi !
Basi slow tempo!
Namaliza sabuni
Mwenzako moto, hauzimi, hauzimi
Mwenzako moto
Hauzimi !

[VERSE 2]
Mwanzo ulisemaaaa
Nakuchenguaaa
Unanini si hata kidogo
Upotezi dk wala masaa
Na ukasemaaaa…
Me ntateuaa
Na tena kwenye mechi nakiwasha
Me samatta na shanga nazikataaa

Mapenzi ya upepo
Ona bendela mama wee
Mwenzako moto hauzimi, hauzimi
Mwenzako moto
Hauzimi
Basi slow tempo
Namaliza sabuni
Mwenzako moto, hauzimi hauzimi
Mwenzako moto
Hauzimi

Mamii umezima data
Mwenzako mtandao usje ukataa
Bila wewe siwezi
Mapenzi na ukija kuniacha
Utaniachia utata
Juludi kama zamani
Penzi liwe shatashata
Kuliko kunifanya ka mbumbu mwenyewe
Ukanacha wengine ukafata

Ooh baby why
Ayaaaya ayaaya ayaaya
Ooh baby why
Ayaaaya ayaaya ayaaya

Mapenzi ya upepo
Ona bendera mama wee
Mwenzako moto hauzimi, hauzimi
Mwenzako moto
Hauzimi
Basi slow tempo
Namaliza sabuni
Mwenzako moto, hauzimi, hauzimi
Mwenzako moto
Hauzimi

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Hauzimi (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

BENSON

Tanzania

Benson is an artist from Tanzania he is best known for his song "Hauzimi". ...

YOU MAY ALSO LIKE